Chuo cha Mwanza General College ni chuo cha Biashara,Utalii & Tehama. Chuo Kimesajiliwa kwa namba REG/NACTVET/0838P Na kinatambulika na Serikali. Chuo kina udhoefuu wa mda mrefu sana. Chuo kinapatikana Jijini Mwanza Tanzania. Ni km kadhaa kutoka stend kuu ya mabasi ya Nyegezi. Chuo cha Utalii & biashara kina nyenzo na vifaa bora na vya kisasa kwa ajili ya wanafunzi kujifunzia. Kwanini ? Mwanza general college "Kwasababu ni sehemu sahihi kwa ajili ya kujifuniza. "Elimu bora kwa jamii"