Mhula wa pili wa masomo,2024

Event details

  • 17th, July,2024
  • 08:00AM
  • Mwanza General College
  • 0755288128

Mhuwa wa pili wa masomo , Mwanza General College unatarajia kuanza rasmi Tarehe 17th July,2024. Hivyo wanafunzi wote wa Level II wanahitajika kufika Tarehe tajwa hapo juu.

Maelezo zaidi soma http://www.mwanzageneralcolllege.ac.tz