Mwalimu na Mkufunzi wa chuo Madem Monica Mouhamed atowa zawadi ya Kompyuta Laptop bure

"Jiunge na kozi mojawapo ujipatie zawadi ya Kompyuta Laptop Bure"

 

Mwalimu wetu akitowa zawadi ya laptop kwa mwanafunzi wetu aliyefanikiwa kupata nafasi yakujiunga namasomo yetu. Zawadi hizi zinatolewa kwa kila Mwanafunzi anayepata nafasi ya kujiunga na chuo kwa kozi mojawapo "Ni ziwadi ya laptop bure kabisa kutoka kwa uongozi wa chuo cha Mwanza Genaral College" Jinsi ya kujiunga na kozi mojawapo unaweza kutuma Maombi yako kupitia Kiunganishi http://admission.mwanzageneralcolllege.ac.tz au ukapiga simu moja kwa moja chuoni na uatapata mafasi za kujiunga na kozi zetu kisha utapatiwa zawadi ya Kompyuta Laptop bure kutoka kwa uongozi wa chuo cha "Mwanza General College" 

 

Karibu mwanza general college "Elimu bora kwa jamii" inapatikana hapa, na zawadi kedekede kwa wanafunzi wetu! Kama vile Kompyuta Laptop Bure, Hostel Bure 

 

 

 

Karibu sana!