
"Chuo cha utalii ,biashara na Kompyuta, Mwanza general College" Kimetoa salamu za pongezi kwa wanafunzi walio hitimu mitihani yao ya Mwisho kwa mwaka wa masomo ,2022/2024
Chuo kupitia ofsi ya Mtaluma mwandamizi Mh.Goodluck Lucas "Tunachukua nafasi hii, kuwapongeza wanafunzi wetu walio maliza mitihani yao ya Mwisho, leo tarehe 26th,July,2024 Salama bila kuwa na shida yoyote. Tunawatakia mapambano mema huko waendako"
Pia, mtaluma ametumia nafasi hiyo kuwaomba wanafunzi ambao bado hawajapata nafasi za masomo kwa mwaka wa 2024/2025 bado dilisha lipo wazi unaweza kutuma maombi yakp kupitia kiunganishi hiki http://admission.mwanzageneralcolllege.ac.tz au kwa kupiga simu moja kwa moja chuoni!
Karibu sana "Elimu bora, Kwa jamii"