Udahili kwa wanafunzi mwaka wa masomo, 2024/25 bado unaendelea tuma maombi yako sasa!

"Udahili kwa mwaka wa masomo wa 2024/2025 bado unaendelea"

 

Kitengo cha Teknolojia mwanza general college kupitia mtalumaa mwandamizi, bado wanaendelea kupokea maombi ya wanafunzi kujiunga na chuo cha Biadhara, Utalii na Kompyuta. 

Unaweza kutuma maombi yako kupitia kiunganishi chetu http://admission.mwanzageneralcolllege.ac.tz , kisha utabofya kitufe kilichoandikwa "anza kutuma maombi" utapewa fomu ya usajiri kisha utaijaza na kutuma.

 

 

Karibu sana

"Elimu bora kwa jamii"