
"Mhula wa masomo kwa mwaka wa 2024/25 kuanza rasmi tarehe 17 July,2024"
Ofisi ya taluma imetangaza rasmi tarehe ya kufungua mhula wa pili wa masomk kwa 2024/25 kuwa ni tarehe 17th July,2024 hivyo wanafunzi wate mnatakiwa kufika kwa wakati ili kuanza masomo kwa pamoja.
"Wanafunzi wote wa level II mnatakiwa kufika tarehe tajwa hapo juu bila kuchelewa tayari kwa masomo ya mhula wa pili"
Ofisi ya taaluma
Mwanza General College
0623087983