
Ofisi ya Taaluma Mwanza General College imetangaza rasmi ratiba ya vipindi vya darasani kwa mwaka wa masomo 2024/2025 mhula wa pili.
Ofisi ya taaluma inawaomba wanafunzi wote wa Level I na Level II kufika ofisi ya taaluma au darasani kwao kuapata nakara ya ratiba hiyo.
Pia ofisi ya taaluma chini ya mtendaji mkuu Goodluck Lucas amewaomba wanafunzi kufuata ratiba kama ilivyo onyesha vipindi
"Natumia nafasi hii kuwajulisha wanafunzi wa Mwanza General College, Wafuatilie ratiba kama ilivyoonyesha kwenye nakara za ofisi na darasani, pia nipende kuwatakia masomo mema!" ameyasema hayo Goodluck Luckas
Karibu mwanza General college
"Elimu bora, Kwa jamii"